29 August 2013

RAY C AFUTA YA MASANJA, NAE AOKOKA KWA KUBATIZWA LEO! CHECK TUKIO ZIMA

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.

1 comment:

  1. BWANA YES PEWE SIFA KWA KUMWOKO RAYC, KARIBU SANA KATIA KRISTU NA UIJE GEUKA NYUMA KAMWE. ISHI MAISHA YA UTAKATIFU NA USHINDI KATIKA KRISTO YESU!!

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname