17 August 2013

MUME AFA GESTI AKIWA NA MKE WA MTU

Mke wa marehemu akisaidiwa kutolewa eneo la tukio
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu (jina tunalo), Kipondo na mwanamke huyo, Latifa Suleiman (25), ni wakazi wa Kigogo, Dar ambao walifika   katika gesti hiyo kwa ajili ya kusaliti ndoa zao.
TUKIO la aibu limetokea Kiwalani jijini Dar Siku ya Idd Pili pale mume wa mtu, Hamad Kipondo (46) alipofariki dunia ndani ya nyumba ya wageni ‘gesti’ akidaiwa kuwa na mke wa mtu ambaye ni mpangaji mwenzake.Kwa mujibu wa mtoa habari wetu (jina tunalo), Kipondo na mwanamke huyo, Latifa Suleiman (25), ni wakazi wa Kigogo, Dar ambao walifika   katika gesti hiyo kwa ajili ya kusaliti ndoa zao.BOFYA HAPA KUISOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname