MSANII WA KUNDI LA ''VITUKO SHOW'' ACHEZEA KICHAPO JIJINI TANGA! CHEKI PICHA NA HABARI HAPA

 |
| ''Kazi Suleiman'' |
 |
| Shingoni |
''Kazi Suleiman'' (Kazi) Mchekeshaji kutoka kundi maarufu lililosheheni wachekeshaji nguli hapa nchini la la ''VITUKO SHOW'' linalorusha kipindi chake katika kituo cha CHANNEL TEN, Hivi majuzi mnamo siku ya jumatano tarehe 14/08/2013 majira ya saa
 |
| Kifuani |
tatu usiku alichezea kichapo kitakatifu hadi kupoteza fahamu, Hii ni
baada ya kuwa katika pitapita zake za hapa na pale na kubadilishana
mawazo na mashabiki wake wa jijini Tanga, Mara gafla alijikuta mikononi
mwa raia wema waliomnasua mikononi mwa kibaka mzoefu almaarufu (Atanas)
Nia na madhumuni ya kibaka huyo ilikua ni kumuibia msanii huyo simu pesa
na vinginevyo! Kazi alivyozinduka alijikuta hana kitu huku akivuja damu
kinywani baadhi ya kina mama wenye huruma walimuelekeza pakumpata
kibaka huyo, Kazi alirejea kambini maeneo ya sahare kuwataarifu wasanii
wenzake kilichomkuta hapo ndipo walipofunga safari kuelekea katika kituo
cha polisi baada ya mda wakafanikiwa kumtia mbaroni mtuhumiwa bwana
Atanasi, Kwa mujibu wa msanii huyu baada ya kuhojiwa na www.masainyotambofu.com
No comments:
Post a Comment