20 August 2013

KISA MZOZO, JENGO LA BAKWATA LABOMOLEWA

Mmoja wa wapangaji akiokoa mali zake.
Sehemu ya mlango ambayo imevunjwa na wabomoaji ili waingie.
Ofisi zikiwa zimesambaratishwa wenyewe wakiwa hawapo.
Jengo la Bakwata lililopo kwenye makutano ya Barabara ya Morogoro na Bibi Titi jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia juzi lilibolewa ghafla wakati mali za wapangaji zikiwemo ndani na kusababisha hasara kubwa ya uharibifu na upotevu wa mali. Chanzo kimoja cha habari eneo hilo kimedai kuwa Bakwata wamelibinafsisha jengo hilo kwa mwekezaji kutoka nje ya nchi bila kuwashirikisha wapangaji wake. Mwekezaji huyo ndiye anayedaiwa kutoa agizo la kubomoa jengo hilo kabla ya notisi aliyoitoa kwa wapangaji hao kumalizika.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)

Subscribe for updates:

2K
Email:
Submit

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname