Msanii
Diamond Platnum amefanya kufuru usiku wa jana kwa kutoa zawadi ya Gari kwa
Mzee Ngurumo Mwanamziki wa miaka mingi na mkongwe nchini aliyestaafu
majuzi kufanya kazi za mziiki.
Tukio hilo limetokea usiku wa jana ndani ya
ukumbi wa SERNA HOTELkatikati ja jiji la DSM ambapo Diamond Platnum
amezindua video yake ya wimbo wa #one fun.
Kiingilio cha show hiyo ni bureeeeeeeeeeeee....LAKINI UMEALIKWA?
Mzee Ngurumo amesema"Haamini macho na
masikio yake,hanachakusema zaidi ya ASANTE kwa msanii huyo"Lakini pia
amesema hajui hata mke wake atasemaje baada ya kumwona akiingia na gari
ndani ya nyumba yake.
Mzee ngurumo amekuwa na matatizo ya
kiafya siku za karibuni nakupelea kustaafu mziki kabisa.Wazee wa
msondongoma ndio wanajua makali ya Mzee Ngurum
There is more to Jason Bond Picks than simply trading and alerting, however. As mentioned above, his desire was to combine his passion and skill for trading with his passion and skill in teaching. Therefore, for many subscribers the most important parts of his subscription service are the education features.
ReplyDelete