Siku ya jumamosi Diamond alipiga show ya nguvu pande za Mombasa ambayo washabiki wake hawata weza kuisahau.
Mashabiki walianza kurusha chupa jukwaani baada ya Diamond kuchelewa
kupanda kwenye stage. Siku chache zilizopita Diamond
alisema kwamba
alichelewa kupanda kwenye jukwaa kwa sababu alikuwa bado hajalipwa pesa
zake.
Diamond was forced to appear on stage hurriedly after fans who had been
waiting for his performance for hours started hurling bottles on the
stage when other artists were performing. But once he took the stage,
his fans never went back to their seats.
No comments:
Post a Comment