04 August 2013

Hii ndo FILAMU MPYA YA IRENE UWOYA - "QUESTION MARK" IMEACHIWA RASMI.


Katika tasnia ya filamu nchini, jina la Irene Uwoya sii geni hata kidogo lakini filamu hii ya "Question Mark" ni ndiyo inayokufanya utahamaki zaidi kumtazama mwanadada Irene Uwoya.

Kwa habari zilizoifikia site hii ni kuachiwa kwa filamu mpyaaa ya muigizaji maarufu nchini anayekwenda kwa jina la Irene Uwoya, Filamu inaitwa "Question Mark" inapatikana sokoni

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname