24 August 2013

BAADA YA MSANII SNURA KUAMBIWA ANAJIUZA APATE PESA,AFUNGUKA HAPA

 Snura 'Majanga', Baada ya kukaa na maumivu moyoni kwa muda mrefu hatimaye leo hii ameamua kufunguka na kusema kuwa anaumizwa sana moyo na wale wote wanaomhusisha ama kumtuhumu kuwa njia yake kubwa ya kujipatia pesa ni kujiuza kwa watu wenye pesa mjini na pia kuuza wasichana wengine.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname