Jina alilopewa na wazazi wake ni Erik Sprague, ingawa Ulimwengu unamfaham kama Lizardman, huku
akiwa na vipindi zaidi vya Television kibao akionesha jinsi alivyoweza
kuubadilisha mwili wake huo. Mabadiliko hayo yanajumuisha
kuchonga meno na kuwa makali, Tattoo mwili mzima ikiwa ya rangi ya kijani na
magamba, Ulimi kupasuliwa kati na kuwa pacha, Manundu maalumu usoni na hivi
karibuni hadi midomo yake imekuwa ya kijani yote.
Kumekuwa na Uvumi kwamba huenda
nyota huyo wa maoenesho ya vipindi mbali mbali vya kutisha angefanya mpango
aoteshwe mkia, lakini mwenyewe amekanusha na kusema jambo hilo haliwezekani.
No comments:
Post a Comment