Nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko
free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi
kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa amani kwa kweli
kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na
fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado
anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani
mwenzenu.

No comments:
Post a Comment