Siku
ya jana baada ya mchezo wa Yanga vs Coastal Union kuisha - timu ya
Coastal ikiwa inaondoka uwanja wa taifa ilifanyiwa vurugu na mshabiki
wanaosadikika kuwa wa Yanga. Katika
vurugu hizo inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na huku mchezaji wa Coastal Union Hamad Juma 'Basmat', amepasuliwa kichwani na ameshona nyuzi kadhaa.
vurugu hizo inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na huku mchezaji wa Coastal Union Hamad Juma 'Basmat', amepasuliwa kichwani na ameshona nyuzi kadhaa.
No comments:
Post a Comment