30 July 2013

NEWZZZ....NDEGE YAANGUKA LOLIONDO


Ndege inayosadikiwa kubeba ma-flying doctors imepata ajali Loliondo. Mpaka sasa hakuna idadi kamili ya waliokuwa ndani ya ndege hiyo. Kamanda wa polisi Arusha amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
SOURCE: ITV

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname