Davis
Mosha "The Boss" akifanya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington
DC, kulia ni mwanae Edgar Mosha mwanafunzi mwenye kipaji cha masomo na
soka.
Edgar
Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni
ya DELINA, Bwana Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na
baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani wakitokea Uingereza
ambapo Edgar amepeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kuitwa kufanya
majaribio na klabu ya Chelsea ya Uingereza. Swahili TV itakuletea
Exclusive video karibuni.
Baada ya mahojiano na kituo cha VOA msafara wa The Boss ulielekea Sequoia kwa hafla fupi .
Edgar na Juliet wakiwa Sequoia water front.
Picha zote na maelezo ni kutoka SwahiliTv watembelee kwa mengi mengineyo katika SwahiliTv.blogspot.com
No comments:
Post a Comment