Msichana Aliyetambuliwa kwa jina la Florence Ngwu,
Mwanafunzi katika chuo kikuu cha Nigeria Amepatwa na Umauti Katika Hotel Moja Mjini Lagos Nigeria. Mwili wa Msichana Huyo Ulikutwa
sakafuni.Mpaka Sasa hakuna taarifa za ziada zilizotolewa, pia haijajulikana ni kitu gani kilimtoa
No comments:
Post a Comment