25 July 2013

Hii ndo JEURI YA FEDHA ya WEMA SEPETU ANUNUA GARI LINALO ENDANA NA RANGI AIPENDAYO KATIKA MAISHA YAKE

Haya ndio Maneno ya Martin Kadinda aliyoandika facebook na kuweka picha ya Wema akiwa na gari hilo

"samahani kwa ubora wa picha kuwa hafifu....... Ila huyu dada anapenda pink kupitiliza..... haya she gat new pink Car.... mkutane barabarani..." aliandika Martin

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname