25 June 2013

OMMY DIMPOZ AOMBA MSAMAHA TENA KWA MARA YA TATU



Ommy Dimpoz kwa mara nyingine ameamua kupaaza sauti yake na kuwaomba watanzania wamsamehe kwa kauli yake kuhusu marehemu Ngwea.... 

Sambamba na msamaha huo,Ommy anadai kuwa amejifunza kutokana na kosa lake na kwamba hatarudia tena... 

Uamuzi wa kuomba msamaha kwa mara ya pili umekuja baada ya msanii huyu kupigwa mawe mjini Dodoma hivi juzi 

Hii ni kauli yake kupitia ukurasa wake wa facebook: 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname