24 June 2013
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha michezo ITV na Radio One, Maulid Kitenge ametangaza kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM.
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha michezo na taarifa ya habari ITV na Radio One, Kitenge Maulid Kitenge kwa kupitia mtandao wa Instagram na Twitter ametangaza kugombea
ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM.
Kitenge anakuwa miongoni mwa watu maarufu na wasanii waliotangaza nia hiyo kama Soggy Dogg Hunter (CHADEMA, Segerea) na Afande Sele (CHADEMA, Morogoro).
Aidha, kuna tetesi kuwa huenda wasanii MwanaFA (CCM) na Prof Jay (CHADEMA) wakatangaza nia bila kumsahau msanii wa Bongo movie Ray Kigosi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment