![]() |
| Akiwa na mwenyeji wake Rais Jacob Zuma kulia kwao ni wake zao. |
![]() |
| Waandamanaji wakiwa tayali kuanza maandamano ya Amani. |
![]() |
| HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA VIUNGA VYA MKI WA CAPE TOWN. |
![]() |
| Moja la bango la waandamanaji likiwa chini. |
![]() |
| Kama unavyojionea mwenyewe. |
![]() |
| kazi kweli kweli. |
![]() |
| Wakiyaandaa mabango . |








WANATAKA UJIKO TU HAO NA MASIFA NA WENYEWE WAONEKANE WATU...MBONA HAWAANDAMANI KUPINGA ZIARA ZA VIONGOZI WAO WA AFRICA WALIOJAA WIZI, UBABE, UDIKTETA, UNYONYA DAMU, RUSHWA , UUAJI NA UNAFIKI...WAACHE KUTUMIWA VIBAYA HAO WANANCHI WASIOJITAMBUA...WANAPINGA ZIARA YA OBAMA KWA MAOVU YA SERA ZA RUPUBLICAN NA BUSH WHILE OBAMA IS DEMOCRATIC..WHAT A SHAME OF AFRICAN`S
ReplyDeleteMmh!!!mbona hawajaandamana kabla hajaja wakati ujio wake waliujua?dah!!yangu macho na masikio.
ReplyDelete