Gazeti la Uingereza la The Guardian lilifichua kuwa shirika hilo la kijasusi limekuwa likifuatilia kisiri taarifa za watu kwa kudokoa kupitia simu na kwenye mitandao.
Edward Snowden mwenye umri wa miaka 29 amekiri hapo jana kuwa ni yeye ndiye aliyelifichulia gazeti hilo taarifa hizo za kijasusi katika video iliyotolewa na mtandao wa gazeti hilo.
The Guardian limesema lilitoa video hiyo kwa idhini ya Snowden ambaye ametorokea Hong Kong

No comments:
Post a Comment