03 May 2013

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA JOSLIN - ITIKA

Baada ya kukaa kimya kwa kipindi kirefu sana, msanii wa long time Joslin aliyewahi kutamba na ngoma kali kama Niite basi na nyingine nyingi. Sasa ameamua kuja kivingine kabisa katika nyimbo hii mpya. Hebiu isikilize hapa chini, pia waweza kuidownload

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname