FFU KUTOKA MBEYA KUWASILI MJINI IRINGA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA
Habari ambazo zimetua hivi punde katika mtandao huu zinadai kuwa msafara wa askari wa FFU pamoja na gari la zimamoto kutoka jiji la Mbeya upo njiani kuja mjini Iringa kuongeza nguvu zaidi .
No comments:
Post a Comment