02 May 2013

DOWNLOAD WIMBO MPYA WA ADAM MCHOMVU FT RADAR - AFRICAN LADY

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEisXFyfc5j_or7WXbm0vdBtxr_NLeRUB_XRVosBD_fne4dfo2OTe5WoXS3AeV18EmrxWl7QGCmrdA-nlkjgT_KgtlWkVPJPS4xN6jrJW3LeJXZ7tVPJwPDDl3h_2oRcLrQU3I0wJdFCb9QI/s1600/B12%252C+Adam+n+Shadee.jpgBaada ya kufanya vizuri na ile ngoma yake ya JONII JONII ambayo aliitoa miaka kadhaa iliyopita na kuendelea kujizolea umaarufu zaidi, ADAM MCHOMVU a.k.a BABA JONII sasa mpya kutoka kwa BABA JONII ni kuwa ameachia tena ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "AFRICAN LADY" ...
Kwenye ngoma hii MCHOMVU amelishirikisha kundi la RADAR ENTERTAINMENT ambalo linaundwa na baadhi ya wasanii wakubwa kama TID, Ngwair, Country Boy, Rommy Jones na wengine ...
Sikiliza ngoma AFRICAN LADY hapa chini ...

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname