13 March 2013

MWANA FA AKIMWAGIWA VINYWAJI MWILINI MWAKE KATIKA KUSHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

March 13 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii wa Bongo Flava Hamisi Mwinjuma ( MwanaFA ) na kama ilivyo ada kama wasemavyo waandishi wa Habari wanaotangaza taarifa ya Habari Ndoo za kutosha zilimkumba MwanaFA.
 
Ay Akimwagia Soda FA. Dah Noma Kweli MShikaji Wangu
Ay, FA, Salama & Sallam

Comments system

Disqus Shortname