24 November 2012

Breaking Newzzz...MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI..Angalia PICHA

KWA HABARI zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa msanii muigizaji ambaye anatambulika kwa jina la John Stephano amefariki dunia asubui ya kuamkia leo akiwa amelazwa katika hospitali ya muhimbili kwa ajili ya matibabumsanii huyu ameshaigiza filamu mbalimbali ikiwemo ya mrembo kikojozi pamoja na nyingine nyingi 


kwa taharifa zaidizitawajia

Comments system

Disqus Shortname