22 September 2012

EDA SYLIVESTER ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TEMEKE 2012


Eda Sylvester (katikati) akiwa na mshindi wa pili Flaviana Maeda (kushoto) na mshindi wa tatu Catherine Masumbigana (kulia).
 
MREMBO Eda Sylvester  amefanikiwa kutwaa taji la
Redd's Miss Temeke 2012 katika kinyang'aniro kilichofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba, Temeke jijini Dar es Salaam. 

Eda Sylvester mwenye umri wa miaka 21 anatoka katika kitongoji cha Kigamboni na Mwanafunzi chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua Shahada ya Sanaa. Eda anapendelea kusafiri na kuangalia filamu.

Matarajio ya Eda ni kuwa msanii wa Kimataifa na mafanyabiashara mwenye mafanikio ya juu.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname