25 September 2012

Breaking Newzzz...OKWI AFUNGIWA MECHI TATU

Tayari Okwi amekosa mechi moja ya juzi dhidi ya Ruvu Shooting na wakati, Kamati ya Ligi Kuu imekutana leo na kuamua,  kumuongezea mechi mbili zaidi, dhidi ya Prisons na dhidi ya Yanga na baada ya hapo atakuwa huru kuendelea kumtukia mwajiri wake.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname