Nashindwa kuthibitisha kama makalio haya ni ya " kichina " au la, lakini mhusika anayanadi kuwa "Aliyarithi toka kwa mama yake"....
Katika harakati zangu za kupekua, nilisitushwa kidogo na maelezo yake katika mtandao wa globalpublisher alipokuwa akiyanadi MAKALIO yake.......Anadai eti humfanya apate "Mialiko mingi"......Kazi ipo
jamani
jamani
AMEPATAJE MAKALIO HAYO?
“Makalio yangu nimeyarithi kutoka kwa mama yangu mzazi, japokuwa nikiwa mdogo nilikuwa mwembamba lakini nilivyokuwa mtu mzima ndiyo limekuja lenyewe hivi kama unavyoliona.”
“Makalio yangu nimeyarithi kutoka kwa mama yangu mzazi, japokuwa nikiwa mdogo nilikuwa mwembamba lakini nilivyokuwa mtu mzima ndiyo limekuja lenyewe hivi kama unavyoliona.”
USUMBUFU ANAOKUTANA NAO
“Napata usumbufu mkubwa sana, kila ninakopita wanaume wananiita pia nimekuwa nikipata mialiko mingi sana kutoka kwa wanaume wa sehemu mbalimbali ambao hata siwafahamu.”
JE, ANATAMANI KUPUNGUA?
“Weeee……thubutu! Sitamani hata kidogo kupungua kwa sababu makalio yangu nayapenda sana, pia yananipa faraja kubwa yaani Mungu amenipendelea.”
No comments:
Post a Comment