16 July 2012

Msikie MCHUNGAJI GWAJIMA AKIKANUSHA KAULI YA POLICE KUWA ALIYEMTEKA ULIMBOKA ALIKAMATWA KANISANI KWAKE

Sehemu ya kilichojiri Kanisani kwa mchungaji Gwajima,siku ya jumapili , pale mchungaji huyo mashuhuri nchini alipokuwa akikanusha kuwa kuna mtu mwenye asili ya Kenya ambaye alifika kanisani kwake kukiri na kutubu dhambi ya kuhusika kwake katika utekwaji na uteswaji wa Dr. Ulimboka, kama ambavyo jeshi la Polisi liliarifu hivi karibuni

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname