23 July 2012

Joyce Kiria>>>>KUFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI WA KISUTU LEO ASUBUHI.





Kwenye Time Line (TL) ya Twitter ya Joyce Kiria ambaye ni huendesha  show ya Bongo Movies na pia kipindi cha Wanawake Live kupitia EATV alipost jana kuwa leo asubuhi atapandishwa kizimbani at mahakama ya hakimu mkazi wa Kisutu.
"Kesho nitapandishwa kizimbani mahakama ya Kisutu kwa kosa la kurusha kipindi cha mama aliyeporwa mtoto wake kwa madai ana ugonjwa wa akili"-

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname