16 July 2012

HUYU NDO MCHUMBA MTARAJIWA WA HUSSEIN MACHOZI ambaye ni MKENYA

 
msichana mwenye bahati ya kuitwa shemeji/wifi na watanzania si mwingine bali ni mwanamuziki maarufu nchini humo Linet Masiro Munyali aka Size 8. Hapo ndipo tunaweza kupata majibu ya kwanini hivi karibuni alisema anafikiria kuhamia moja kwa moja nchini Kenya



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname