03 July 2012

HUYU ndo DEMU WA ZAMANI WA BALOTELI mwenye MIMBA YAKE.


Pamoja na kutokwa machozi kama mtoto wa shule juzi kutokana na kipigo ‘kitakatifu’ cha Hispania dhidi ya Italia kwenye fainali za Euro 2012, walau mshambuliaji Mario Balotelli ana kitu cha kumfuta machozi.
Mpenzi wake wa zamani Raffaela Fico ni mjamzito wa mtoto wake

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname