14 July 2012

ANGALIA PICHA ATLETICO 2-0 YANGA


Atletico wakishangilia bao la pili


Refa wa mechi ya leo, Dennis Batte wa Uganda

 kipa aliyedaka leo Atletico, anaitwa Kaseja kwa jina la utani,  jina lake halisi ni Said Ndikumana



Yanga kama wamemwagiwa maji, kufungwa noma

Mtakatifu Tom akimpa 'bravo' kocha wa Atletico, Kaze


Yanga wapolee

Muuwaji wa Yanga, Olivier Ndikumana  jezi namba 7
Sekeseke langoni mwa Atletico


Kizaa zaa langoni mwa Atletico


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname