09 June 2012

YANGA WAMWITA MAXIMO

.
Kutokana na kufanya vibaya katika msimu uliopita, Yanga wameendelea kuunda timu upya, baada ya juzi kumsainisha Kelvin Yondan, leo hii timu hiyo imehamia kwenye benchi la ufundi.

Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya zinasema klabu hiyo ni kwamba imemtumia tiketi ya ndege kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Marcio Maximo kwa ajili ya kuja jumanne wiki ijayo kufanya mazungumzo ya kujiunga na klabu hiyo kwa ajili ya kuliongoza benchi la ufundi la wanajangwani kuanzia msimu ujao, (Stori imeandikwa shaffihdauda.com )

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname