19 June 2012

DIAMOND ANUNUA GARI JIPYA LA TSH MIL. 60






7 comments:

  1. Bajeti 60M unanunua prado ya kazi gani?

    ReplyDelete
  2. ya ukweli mbaya mwenye donge ajibebe

    ReplyDelete
  3. dah nahisi hii gari sio fuel economical wabongo bana ful mashauzi ,haya bana babako mnunulie basi bodaboda

    ReplyDelete
  4. Yah! Ni chaguo lake kununua gari la aina hiyo.
    Hata hivyo nadhani hili litakuwa la muda mfupi tuuu then ananunua lingine zuri zaidi maana atajihisi yupo nyuma ya wakati.
    BUT Almasi pleeeeeeeeeeeeese; mkumbuke babako hata kwa kumsaidia kubadili/boresha maisha yake ikiwezekana kumwongezea miradi/biashara etc.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname