23 June 2012

Breaking Newzzzzz.NAIBU .WAZIRI AFUMANIWA SINGIDA

habari kutoka Singida hivi punde tu, kwa chanzo cha habari cha kuaminika, zinasema WAZIRI (JINA LINAHIFADHIWA) amefumaniwa akiwa na mke wa mtu (mke wa askari mmoja) pale Singida katika Hotel ya Aqua. 


Muda huu bado yuko Kituo cha Polisi Mkoa wa Singida akitoa maelezo. Amefumaniwa tangu saa 10 alfajiri. Baada ya kupata tip hiyo, maaskari walikwenda wakazingira hotel hiyo, wakati WAZIRI HUYO akitoka yule askari mwenye mke kumbe alikuwa ameficha sime/panga akamkata Mheshimiwa Naibu Waziri.


Habari zinasema alikuwa yuko njiani kwenda msibani ukweni kwake, Karatu. Hata wakati wa kupiga kura jana jioni hakuwepo bungeni, mintaarafu kuwa anawahi msibani.

2 comments:

Comments system

Disqus Shortname