14 June 2012

ANGALIA PICHA DOGO JANJA AKIWA UBUNGO AKIRUDISHWA ARUSHA


Wakati mwingi Dogo Janja alikua akiongea na simu kuwaaga watu
 huku akiwa na furaha ya kuondoka Dar es salaam alikoishi kwa tabu,
 anafurahi kurudi nyumbani Arusha.

.

Dogo Janja akiagana na kaka yake mwenye T shirt ya
 bluu yenye mistari.

.

.

.

.

Bye bye.

Picha kwa hisani ya MILLARDAYO.COM

2 comments:

  1. SIJUI TUMWAMINI NANI?DOGO JANJWA ANASEMA ALIKUWA ANATESWA. MADEE ANASEMA DOGO TABIA IMEHARIBIKA WAKATI WAO NDO WALIKUWA WANASHINDA NAYE KWENYE VIJIWE WKIVUTA BANGI NAYE AKIWASHUHUDIA SA NANI KAMWARIBU HUYO MTOTO?

    ReplyDelete
  2. hakuna lolote hapo ...ni akili za kitoto za huyo dogo

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname