30 May 2012

HIVI NDIVYO WEMA ALIVYO VALISHWA PETE NA MWINYI USIKU WA JANA NDANI YA MAISHA CLUB


Wema SEPETU avalishwa pete na MWINYI wa machozi bend maisha club JANA, hii inakuwa mara ya pili kwa wema kuvaliswa pete kwenye ukumbi huo na wanaume wawili tofauti, wakwanza alikuwa DIAMOND.!hii inatokana na kucheza muvi mpya inayoigiza maisha aliyo ishi akiwa pamoja na DIAMOND

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname