17 May 2012

HAYA NDO MAGARI ANAYO MILIKI WOLPER ,,KWELI YUKO JUUU


Pamoja na BMW X6 msanii huyo anasukuma pia kitu cha Harrier Lexus & apparently ndo linalotumika kupleka wadogo zake shule. Thamani yake ni Sh. milioni 25
 Hili ni Toyota Noah lenye thamani ya Sh. milioni 18 ni kwa ajili ya kikazi zaidi
Jackline akiwa na gari lake aina ya BMW X6 lenye thamani ya Sh. Milioni 170
Jackline
ushaidi huu hapa
CHANZO JESTINA BLOG

1 comment:

  1. acheni kumsifia ameyamiliki lini?,anauzia sura tu lakini ni gari za mwanaume wake..mnaposema anayamiliki je mmeona kadi za gari zina jina la nani??

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname