Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea
klabu ya TP Mazembe leo amefanya maajabu makubwa
katika historia ya soka la nchini Congo baada ya
kufunga magoli 6 kati ya 13 yaliyowekwa kimiani na TP dhidi
ya FC Police katika michuano ya ligi ya jimbo la Katanga.
Mbwana Samata amekuwa mchezaji wa kwanza wa kigeni kufunga
idadi hiyo ya magoli katika mechi moja hivyo kuweka rekodi ndani ya
klabu yake.Magoli mengine katika mechi hiyo iliyoisha kwa TP Mazembe
kushinda ugenini kwa mabao 13-1 yalifungwa na Wachezaji, Lusadisu (3 ),
Kanteng, Traore ( 2 ) na Mabele

No comments:
Post a Comment