Showing posts with label LULU. Show all posts
Showing posts with label LULU. Show all posts
06 July 2013
29 January 2013
HATIMAYE LULU ATOKA MAGEREZA KWA DHAMANA LEO ANGALIA PICHA ZA TUKIO ZIMA
Labels:
LULU
28 January 2013
ANGALIA PICHA .....LULU AKIWA MAHAKAMANI LEO
Msanii
wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’
Labels:
LULU
25 January 2013
21 December 2012
UTATA WA TAARIFA KUHUSU LULU KUPEWA DHAMANA
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mwandishi wa habari wa Clouds FM, msanii wa filamu Elizabeth Michael maarufu Lulu hajatoka nje kwa dhamana bali kesi yake iliyosikilizwa leo kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam itahamishiwa kwenye mahakama kuu ya Tanzania. Leo mashahidi zaidi ya sita wametoa ushahidi wao mahakamani hapo akiwemo yeye mwenye Lulu aliyesimulia jinsi tukio hilo lilivyo kuwa.
source bongo5
Labels:
LULU
22 October 2012
Angalia ..PICHA .Msanii LULU AKITOKA MAHAKAMANI LEO
| Elizabeth Michael a.k.a LULU, (Katikati), akielekea kupanda basi la magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Kkazi Kisutu, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Hayati Steven Kanumba, kuahirishwa |
![]() |
| LULU akielekea kupanda gari tayari kwa safari ya Segerea |
Labels:
LULU
05 October 2012
HUU ndo MUONEKANO wa LULU AKIWA MAHAKAMANI LEO HII
Lulu akizungumza na Wakili wake Peter Kibatala wakati akisubiri usafiri wa kurudi Segerea.
Labels:
LULU
Subscribe to:
Posts (Atom)





