05 January 2016

BOSS WA ZANTEL AZIKWA KWA TAMKO KALI,MENGI MAZITO YATAMKWA

IMG_1730
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiwa Kanisani kwa ajili ya kuombewa.

Na Waandishi Wetu, 
DAR ES SALAAM: Tamko zito limetolewa na waombolezaji kufuatia kifo cha bosi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), Gabriel Kamukara, 39, (pichani) kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname