Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango Dkt. Servacius Likwelile (wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi
kwa Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango (wa pili kulia)
mara baada ya kuwasili Wizarani hapo leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza
kulia ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji.
No comments:
Post a Comment