WAFANYA BIASHARA 15 WAMCHOKOZA RAIS MAGUFULI,WAKAIDI AGIZO LAKE,WAJIWEKA PABAYA
Wafanyabiashara 15 wanakabiliwa na uwezekano wa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kutolipa kodi, baada ya kushindwa kutumia ahueni ya siku saba iliyotolewa na Rais John Magufuli ya kulipa ili kuepuka hatua za kisheria.
No comments:
Post a Comment