08 December 2015

TANSECO WATUA NYUMBANI KWA WEMA SEPETU ,WAANZISHA MSAKO MKALI MTAA KWA MTAA.IDRIS AHUSISHWA

Oparesheni ya TANESCO kukagua nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa imeendelea kama ambavyo kumekuwa na story kwenye vyombo vya habari !!
Story imegusa mitandaoni, ikamfikia Soudy Brown… leo akaanza na kiongozi wa TANESCO, jamaa amesema walifika wakagundua kuna tatizo kwenye mfumo wa mita ya LUKU nyumbani kwa Wema, walipohitaji maelezo ya wanaoishi kwenye nyumba hiyo,Wema hakuwepo na badala yake akatokea   


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname