15 December 2015

PROF LIPUMBA ATOA KAULI NZITO KUHUSU LOWASSA ..CHADEMA WAMEPOTEZA

Wakati akiongea kupitia AzamTwo Television, Prof. Lipumba amesikika akisema, CHADEMA kimepoteza dira ya kisiasa kutokana na mtafaruku uliojitokeza ndani ya UKAWA baada ya kumpokea Lowassa na kumfanya mgombea Urais wa Tanzania.
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname