26 November 2015

MAHAKAMA YA MAFISADI MAMBO YAIVA,MCHAKATO WAANZA RASMI



Jaji Kiongozi, Shaban Lila       Utekelezaji wa ahadi za Rais John Magufuli unazidi kushika kasi baada ya kuanza kwa mchakato wa kuanzisha mahakama maalumu ya kuwashughulikia mafisadi.
Jaji Kiongozi, Shaban Lila alisema jana kuwa tayari wadau mbalimbali wa haki jinai wameanza kukutana kuangalia namna ya kuanzisha mahakama hiyo kama sehemu ya utekejezaji wa ahadi ya Rais.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname