13 November 2015

HUYU NDO MWANAUME ANAYE TOKA NA ELIZABETH MICHAEL (LULU)

Hitmaker wa Basi Nenda, Mo Music amesema anajipanga kufanya mazungumzo na muigizaji Elizabeth ‘Lulu’ Michael ili awe mrembo kwenye video yake inayokuja.
Mo Music na Lulu
Muimbaji huyo amesema kuwa Lulu ni muigizaji mzuri anayeweza kucheza vizuri katika video hiyo.

“Plan zipo za kumtumia, sema bado sijazungumza naye lakini ipo kwenye mpango wa kufanya naye mazunguzo,” amesema Mo.

“Lulu ni muigizaji mzuri sana na pia namkubali kazi zake ndio maana nikaona kama akikaa kwenye project yangu mpya itakuwa poa sana.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname