Ikiwa Bado Kuna Sinto fahamu Kwa Mashabiki wa Filamu Kama Bond na
Wastara ni Wapenzi kweli ama la , Mwigizaji na Mtangazaji Bond Ameandika
Maneno Haya na Kupost Picha hiyo Hapo juu Kwenye Ukurasa Wake wa
Facebook:
"Siku ya Tarehe 27 mwezi wa 9 mwaka 1994 ni siku Mama yangu alinifariki na kuniacha mpweke na nikajiona kuwa sitakuwa na furaha.
Lakini tarehe hiyo hiyo 27/09 kasoro mwaka alizaliwa binti mmoja
mzuri wa ajabu mwenye sifa nyingi nzuri ambazo kila mtanzania anazijua
kuanzia kazi, upendo, huruma, uvumilivu na ujasiri kwakweli mungu
hajawahi kukosea wala hatokosea kufanya maamuzi
Kwani humpa amtakae na humnyima amtakae na yote ikiwa ni kwa kheri zake
Asante mungu kwa kunijaalia kunipa na kumjua huyu mwanamke mzuri"
No comments:
Post a Comment