16 October 2015

Picha za awali toka nyumbani kwa mbunge @Deo Filikunjombe,pia huu ndio mjengo aliouacha

Mke wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe.filikunjombe
Ndugu, jamaa na marafiki wakionekana wenye huzuni nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe.filikunjombe (3)
Nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe Mbagala Kijichi, Dar es Salaam.silaa
Capt. William Silaa enzi za uhai wake.chopa
Filikunjombe akiwaaga wananchi wake.

Mbunge wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule Filikunjombe amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.

Wengine waliofariki kwenye ajali hiyo ni Vitalis Blanka haule na Ofisa Tawala wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi Mkwera ambaye alikuwa mtaalam wa mifugo.

Picha hapo chini ni Chopa iliyosababsha kifo cha Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili.
  chopa 2

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname