“Wanasema
wewe mwizi, sisi huku tumesema tutamchagua mwizi na kumfungia Ikulu
miaka 10 atumikie wananchi.”-Vicent Nyerere(Mwenyekiti wa Chadema Musoma
Mjini)“Lowassa wamekutukana sana na wengine wanasema
wewe mgonjwa, sasa sisi tumesema Mkoa wa Mara tunamchagua mgonjwa ili
ashughulikie masuala ya hospitali zetu kwa kuwa hilo ndilo tatizo
kubwa".-Vicent Nyerere
No comments:
Post a Comment